PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Pierre Mzee wa liquid katajwa Ikulu na Mama Samia “maarufu yule” (+video)

on

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo March 25, 2019 akitoa pongezi kwa Wachezaji wa Taifa Stars amemtaja Pieere Gumbo maarufu kama Pierre Liquid, Konki fire katika hotuba yake.

WATU WAANGUA VICHEKO IKULU, MANARA AKIMWAMBIA RAIS MAGUFULI “IPO SIKU UTAWAITA SIMBA IKULU”

 

Soma na hizi

Tupia Comments