Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Asante Rais Magufuli, asiyekubali kunyooka tutamnyoosha” –Jumaa Aweso

on

Naibu Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso amelieleza Bunge kuhusu hatua ya Rais Magufuli kuagiza Wahandisi wote wa sekta ya maji kwenda katika ofisi za Wizara hiyo ili kuratibu utekelezaji wa huduma za maji vijijini.

Naomba nitoe shukrani za dhati kwa Rais Magufuli kwa kusikia kilio cha Wabunge kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji vijiji na ameagiza wahandisi wote waje katika Wizara ya maji, nataka niwaambie wahandisi wote wanyooke na asiyetaka kunyooka basi tupo tayari kumnyoosha ” –Jumaa Aweso

“Nina hasira, Mimi nina uchungu na nchi yangu” –Ruge Mutahaba

Soma na hizi

Tupia Comments