PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

Kigugumizi cha Idris Sultan kuhusu Ex wake anayejua kupika “Ni Staa, mzuri ana-shape”

on

Mchekeshaji Idris Slutan alipata kigugumizi baada ya kuulizwa kuhusu Ex girlfriend wake anayejua kupika na huwa namiss chakula chake, Idris aliulizwa swali hilo wakati alipokuwa kwenye mashindano ya wapishi sita walioshindanishwa ili kumpata mmoja atakaye iwakilisha Afrika kwenye mashindano ya Dunia ya wapishi.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Idris Slutan akijibu.

VIDEO: Mashindano ya wapishi, wapishi sita kutoka nchi tofauti washindanishwa DSM

Soma na hizi

Tupia Comments