Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 10: Mwimbaji Khadjanito kafunga ndoa Oct 29, 2016

on

Ni mwimbaji wa hit single ya ‘maumivu niache‘ ambayo kwa uzito ilimfanya Watanzania wamfahamu, October 29 2016 amefunga ndoa Dar es salaam na mchumba wake ambaye ni raia wa Congo DRC kwenye kanisa la Ufunuo wa bendera.

Khadja ambaye amebadili dini na kuwa Mkristo ili kumfata mume wake, amefunga ndoa siku tatu baada ya kukiri kupitia mahojiano na millardayo.com kwamba uamuzi wake wa kubadili dini umewakasirisha Marafiki na ndugu lakini anahitaji wamuombee kheri na wasimlaumu.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIIKOSA HII YA KADJANITO KUHUSU MAAMUZI YA KUBADILI DINI KIISLAMU NA KUFUNGA YA KIKRISTU BASI BONYEZA PLAY KUMTAZAMA AKIYAZUNGUMZA

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement