Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Sijawahi na sitakaa nishirikiane na Diwani na Mbunge wa CHADEMA, Full Stop” RC Mnyeti

on

Leo February 12, 2018 Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ametoa onyo kwa Viongozi wa ngazi za chini katika mkoa huo ikiwemo Wakuu wa wilaya kutoshirikiana na Madiwani na Wabunge wa CHADEMA na kusema kiongozi atakayekiuka atachukuliwa hatua.

Mnyeti akizungumza millardayo.com na AyoTV amesema Madiwani hao pamoja na wabunge wamekuwa wakihamasishana kutompa ushirikiano nakuongeza kwamba pale anapojaribu kufanya kazi nao wanasema anataka kuwanunua.

“Sasa Kama mtu ameteuliwa na yuko chini yangu mimi halafu anafanya maelekezo anayoyajua yeye tofauti na kwenye Ilani mimi kama Kiongozi wa Mkoa lazima nimchukulie hatua” -RC Mnyeti

“NAWATAKIA KAZI NJEMA, KAFANYENI KAZI” -RAIS MAGUFULI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments