Tangaza Hapa Ad

AyoTV

FULL HD: AyoTV ilikwenda mpaka Comoro na kunasa magoli yote ya N’gaya vs Yanga, FT: 1-5

on

February 12 2017 Yanga walicheza dhidi ya N’gaya Club ya hapa Comoro katika uwanja wa Moroni na kupata ushindi wa goli 5-1, magoli yakifungwa na Justine Zulu 43′, Simon Msuva 45′, Obrey Chirwa 59′, Amissi Tambwe 65′ na Kamusoko 73′ na goli la N’gaya lilifungwa na Anifane 67′.

Najua hii mechi haikuonyeshwa kwenye TV za Tanzania lakini AyoTV ilikwenda mpaka Moroco na kukurekodia magoli yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho unaweza kuyatazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement