Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Drake, Wizkid na Diamond wameshinda tuzo za Net People’s Choice Awards 2016

on

Net People’s Choice Awards ni tuzo ambazo zinaandaliwa kwa ajili ya watu tasnia mbalimbali waliyofanya vizuri kwa mwaka husika katika upande wa burudani, washindi wanapatikana kwa utafiti wa data zilizopatikana kwa mwaka husika.

Tuzo hizo ambazo zinaandaliwa Nigeria washindi wametangazwa tu pasipo uwepo wa sherehe za utoaji wa tuzo hizo, ila wote waliyotangazwa washindi watapatiwa vyeti kutambua mchango wao kwa mwaka 2016.

List ya washindi wa tuzo za Net People’s Choice Awards

 • Most Searched Musician (Female): Tiwa Savage

1-net-honourstiwa-savage

 • Most Searched Musician (Male): Wizkid

15-net-honours-wizkid-2

 • Most Popular Musician: Wizkid

4-net-honours-wizkid-2

 • Most Popular Couple: Teebillz na Tiwa Savage12-net-honours-couple
 • Most Searched Personality Across Africa: Diamond Platnumz

net-honours-diamond-platnumz

 • Most Searched Comedian: Basketmouth

2-net-honours-basket-mouth2

 • Most Popular Comedian: Basketmouth

6-net-honours-basket-mouth

 • Most Popular Footballer: Mikel Obi

11-net-honours-mikel

 • Most Popular Celeb (Global): Drake

7-net-honours-drake

 • Most Popular Actor

screen-shot-2017-01-10-at-11-03-12-am

 • Most Popular TV/Radio Personality

screen-shot-2017-01-10-at-11-03-57-am

VIDEO: Alichozungumza Harmonize kuhusu kuachana na Jackline Wolper

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement