Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Somo alilotoa Jacquline Wolper kwa wanaume wa Bongo

on

Leo February 13,2018 nazidi kukusogezea karibu stories zilizochukua headlines kupitia mitandao ya kijamii ambapo kwenye upande wa instagram muigizaji Jacquline Wolper amewaponda wanaume wanaotegemea wanawake kupata kipato au fedha.

Kupitia instagram account ya Jacquline Wolper amepost video ya mchekeshaji Wakuvanga au Mama Atupele na kuandika caption “Naomba mjifunze kitu wanaume wadangaji, mnadangwa au unadanga mwisho wa siku unageuka houseboy kwa unayoenda kupambana nayo..sio kila unachoona kipo kama unavyoona! Haya katarina njoo hapa??”

Kutokana na caption hiyo ya Jacquline Wolper wengi wameitafsiri kuwa ni somo kwa wanaume wanaotegemea kila kitu kutoka kwa wanawake na kila wanachokiona sio kama kilivyo.

Kingine cha kufahamu kutoka Wasafi Tv na Wasafi Radio

Soma na hizi

Tupia Comments