Tangaza Hapa Ad

Michezo

VideoFUPI: Umeiona hii ya Pogba na Lingard wakicheza ngoma ya Wizkid ft Drake

on

Muziki wa Afrika inaonekana unazidi kufanya vizuri nje ya mipaka ya Afrika, leo January 31 staa ghali zaidi duniani anayeichezea Man United Paul Pogba na mchezaji mwenzake wa Man United Jesse Lingard, wameonekana kuukubali muziki wa Wizkid.

Pogba ambaye ni mfaransa na Jesse Lingard ambaye ni muingereza wameonekana kuikubali hit single ya Wizkid ft Drake Hush Up The Silence na kuanza kuucheza wimbo huo, Pogba na Lingard walikuwa katika dressing room za timu yao na kuweka wimbo huo na kucheza na baadae Pogba alishea video hiyo katika instagram account yake.


VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement