Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ninazo video mpya 6 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube…

on

Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kinachonifikia basi hapa ninazo video mpya 6 ambazo zinachukua headlines kwenye mtandao wa Youtube.

Zifuatazo ni video mpya za bongo Fleva zilizotoka 2016 ambazo hutakiwi zikupite….  ya kwanza kuitazama ni hii ya Vanessa Mdee akiwa na Jux  iitwayo Juu,  imewekwa December 12, 2016 na mpaka sasa ina view zaidi 720,413, Directed by  Justin Campos.

Darassa akiwa na Ben Pol  imefanywa na director Hanscana imewekwa Youtube  November  23, 2016 mpaka sasa ina view zaidi 2,564,856

Video ya tatu hapa chini ya Rich Mavoko ft Diamond Platnumz iitwayo Kokoro ambayo imewekwa Youtube November 22, 2016 na mpaka sasa ina views zaidi ya 1,524,623

Hapa chini ni Mwana FA akiwa na Vanessa Mdee Dume Suruali iliwekwa Youtube Nov 25, 2016 na ina view zaidi ya 1,691,099

Vanessa Mdee ameiachia hii ‘Cash Madame’ kwenye YouTube toka Dec 5, 2016  na mpaka sasa imechukua views zaidi ya 629,771

Ommy Dimpoz na Alikiba imetengenezwa na Justin Campos  ambayo imewekwa Youtube November 5, 2016 na mpaka sasa ina views zaidi ya 1,670,620

ULIIKOSA HII YA PROMOTA KUHUSU ALIKIBA KUSHINDWA KUFANYA SHOW DODOMA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement