Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Birdman aamuriwa kumlipa Lil Wayne zaidi ya Bilioni 22

on

Rapper Lil Wayne anaripotiwa kupata ushindi wa mamillioni ya pesa baada ya kupata ushindi mkubwa kwenye kesi yake iliyokuwa ikiendelea dhidi ya Birdman, Cash Money Records na Universal Music Group.

May 23,2018 mwanasheria wa rapper huyo Howard King alisaini mkataba na mahakama na kudai kuwa pande zote mbili zimekubaliana kumalizana na kesi hiyo, kupitia mtandao wa Blast umeweka wazi kuwa kampuni ya Universal Music Group imeamua kumaliza kesi hiyo na kumlipa Lil Wayne kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 1o ambazo ni zaidi ya Shillingi Bilioni 22 za Kitanzania.

Lil Wayne na Birdman

Rappa Lil Wayne aliishtaki label ya Birdman “Cash Money” kwa kuzuia album yake ya ‘The Carter V’ kutoka lakini kwa sasa album hiyo ipo mbioni kuwa sokoni na kuuzika katika platformz tofautitofauti kutokana na Lil Wayne kushinda kesi hiyo na kwa sasa rapper huyo ameachana rasmi na label ya Cash Money Records.

Mjomba wa ‘Sam wa Ukweli’ “atazikwa kwenye mananasi alipolala Mama yake”

Soma na hizi

Tupia Comments