Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs African Lyon August 28 2016, Full Time 3-0

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara leo August 28 2016 imeendelea kama kawaida kwa bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya African Lyon, magoli ya Yanga yalifungwa na Deus Kaseke dakika ya 19 na Simon Msuva dakika ya 60 kipindi cha pili na Juma Mahadhi aliyefunga goli la mwisho.

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement