Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO; Kama una mpango wa kununua hisa za Vodacom, kuna hii Good News

on

Leo April 19 2017 Mkurugenzi wa Mawasiliano na uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia amekutana na waandishi wa habari na kuzunguma kuhusu kuongeza muda wa kuuza hisa za Vodacom

>>> “kutokana na ushauri kutoka Serikali ya Tanzania na  makundi mbalimbali muhimu ya kijamii yanayohitaji kuwekeza wakiwemo Wabunge, makundi ya watumishi wa kada mbalimbali wa serikali na maofisa wa vyama  vya Ushirika kutoka  sehemu mbalimbali za nchi ,tumewasilisha maombi na kupata idhini kutoka Mamlaka ya Soko la mitaji na dhamana CMSA) kuongeza muda wa zoezi la kuuza hisa kwa kipindi cha wiki tatu hadi kufikia Alhamisi ya May 11 2017″.

Aidha ameongeza kuwa kuongezeka kwa muda wa mwisho wa kununua hisa utawezesha wanaohitaji kununua hisa  kwa makundi binafsi na taasisi zilizoomba muda uongezwe kushiriki kikamilifu katika mchakato huo. Bonyeza play hapa kuitazama

VIDEO: Diamond Platnumz alivyoizindua simu ya Smart Bomba, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement