Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Billnass kafunguka ishu ya kumvalisha mchumba wake pete mwaka huu

on

Msanii Billnass amefunguka baadhi ya mambo ambayo ameshindwa kuyatekeleza mwaka huu na yalikuwa kwenye mipango yake ambapo moja ya jambo amegusia ni kushindwa kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake ili afunge naye ndoa kabla ya mwaka kuisha.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama BILLNASS akifunguka.

EXCLUSIVE: CHALII YA CHUGA BENEFICIAL KAFUNGUKA “NI HUYO MIMI”

Soma na hizi

Tupia Comments