Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad wakati akiwasilisha taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha ulioishia Tarehe 30 June, 2018 amesema kuwa licha ya kwamba wapo baadhi ya watu ambao wameonesha kukerwa na neno “dhaifu”ambalo amekuwa akilitumia mara kwa mara katika mazungumzo yake amesisitiza kwamba hatoacha kulitumia neno hilo.
RIPOTI YA CAG KUHUSU UDHAIFU WA CCM NA CHADEMA