AyoTV

Alichokifanya Mchekeshaji Erick Omondi baada ya Diamond kumuachia kipaza sauti

on

Omondi 1Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na utundu wake wa kuigiza nyimbo za Diamond kwenye video, na hizi ni dakika zake alizopewa na Diamond kwenye stage ya White Party iliyofanyika Mlimani City Dar es salaam.

Chek hii video hapa chini alafu uniambia ni kichekesho gani zaidi kimekuchekesha….

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments