AyoTV

AyoTV: Nyumbani kwa Ali Kiba baada ya kuvamiwa na Majambazi

on

Ali K 2Weekend iliyopita mwimbaji wa Bongofleva Ali kiba alivamiwa nyumbani kwake Kunduchi Dar es salaam na Majambazi ambao walikua zaidi ya 15, Ali Kiba mwenyewe alikuwepo ndani ambapo walivunja milango yote na kufanikiwa kuingia ndani.

Kisa kizima anakielezea Ali Kiba kwenye hii video hapa chini…

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments