AyoTV

Maswali na majibu ya WEMA SEPETU kwenye TAKE ONE, kazungumzia ile BMW, Diamond, Jokate,Penny na mengine

on

Wema Sepetu 2Kutana na kipisi kingine cha Interview mwigizaji Wema Sepetu akihojiwa na Zamaradi Mketema kwenye TAKE ONE ya CloudsTV ambapo interview kwenye hii video hapa chini anazungumzia kidogo ile BMW na uhusiano wake na Diamond Platnumz, boyfriend CK, kujutia kuwa na Diamond, kwake mapenzi ni Pesa au kupetipeti?

Alijutia kutomsikiliza mama yake kwenye maamuzi magumu ya maisha yake? kuhusu Diamond kuwa mapenzini na Jokate na Penny? majibu ya haya na mengine aliyoulizwa unaweza kumtazama mwenyewe hapa chini.

millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben kwa ajili ya kujua taarifa zaidi kwenye ajali waliyoipata jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments