fB insta twitter

Leo Zari ameshindwa kuvumilia, imebidi ayaandike haya tena mengine kwa Kiswahili.

on

Zari 2Shemeji yetu Zari ambaye ni mrembo kutoka Uganda ambaye toka amekua mapenzini na Mtanzania staa wa bongofleva Diamond amekua akipokea comments tofautitofauti kwenye page yake ya Instagram, June 28 2015 ameamua kuyaandika haya tena mengine kwa kutumia lugha ya kiswahili baada ya kushindwa kuvumilia.

Waliomkasirisha ni wale wanaokosoa uvaaji wake na kuendelea kumfatilia ambapo alianza kwa kuandika >>>’Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, nayako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo….oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels,pili pili hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite kimya kimya. Kwanini unastress????

Zari 3

Hii ndio picha aliyoiambatanisha na hayo maneno.

Ameendelea kwa kuandika mengine kwa kiingereza na nitatafsiri kwa wino mwekundu>>> ‘HAYA NI MAISHA YANGU na sasa your all Gods’ judges now…. how many people do we know that wear hijab but have very dirty ugly hearts? (ni watu wangapi tunawajua wanavaa Hijab lakini mioyo yao sio misafi? ni wangapi wenu mnaigiza kuwa wasafi kwenye hizi siku 30 lakini miezi 11 iliyobaki ni waovu? )How many of you act so straight for these 30 days but the last 11 months your the worst monsters this world has ever seen’

zariKwenye sentensi nyingine kaandika >>> ‘Now u wana come here and judge my faith by the dress???? (sasa mnakuja kujudge imani yangu kutokana na nguo? Allah bless all of you….atleast I ain’t acting snitchy, am being ME. And oh🙋, if you happen not to like what you see in ur news feed (my page) U always have 3 options, Block yourself, unfollow ama fast forward coz if your still following na you exercise your fingers kuwakya matusi page yangu, babe your just an obsessed fan if not a confused admirer dah majirani Habari nakazi mnayo……like I always say, no bad vibes from me. So stay blessed

ITAZAME HAPA CHINI VIDEO YA DIAMOND ALIVYOMUITA ZARI MBELE YA WATANZANIA..

ULIMIS KUONA JINSI DIAMOND NA ZARI WALIVYOPITA RED CARPET WHITE PARTY? TAZAMA VIDEO HAPA CHINI…

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments