Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Maelfu walivyojitokeza kuupokea mwili wa mzee Majuto saa 8 usiku

on

Mwili wa marehemu mzee MAJUTO umewasili muda wa saa Nane za usiku ukitokea DSM. Tazama VIDEO FUPI ikiwaonesha maelfu ya watu waliojitokeza kuupokea mwili huo nyumbani kwake Tanga.

ULIIKOSA HII YA BAADHI YA WATU WAKIONEKANA KULALAMIKA BAADA YA KUKOSA NAFASI YA KUUBEBA MWILI WA MAREHEMU MZEE MAJUTO

Soma na hizi

Tupia Comments