Habari za Mastaa

LIVE: Mapokezi ya mwili wa Mzee Majuto Tanga usiku huu, msafara wasimamishwa zaidi ya mara 7

on

Watanzania mbalimbali hata wasio Wakazi wa Tanga wamejitokeza kwa wingi usiku huu njiani na nyumbani kuupokea mwili wa Marehemu Mzee Majuto aliefia Dar es salaam jana August 8 2018, unaweza kutazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

VIDEO:Kinachoendelea Usiku huu nyumbani kwa marehemu mzee Majuto Tanga 

Soma na hizi

Tupia Comments