Habari za Mastaa

Clouds FM Top 20: Nyimbo 20 kali zilizosimama kwenye list ya Leo March 5

on

Top 20 ya Clouds FM March 5 2017 ikisimamiwa na Mtangazaji Mami Baby ilikamilisha hesabu ya nyimbo 20 bora za wiki ambapo kama ulipitwa hii ni time yako ya kujua chati inasemaje.

Ingizo Jipya wiki hii ni pamoja na wimbo wa Country Boy ft Bill Nas Hakuna Matata kwa mara ya kwanza kwenye List  ikiwa  imeshika nafasi ya 15 kwenye Top 20 ya Clouds FM wiki hii.

VIDEO: Barakah Da Prince alivyoimba LIVE na band Dodoma March 3 2017

VIDEO: Alichokifanya Jux kwenye stage ya Dodoma March 3 2017 

Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FBTwitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments