AyoTV

Tazama jinsi fundi alivyookolewa dakika za mwisho kwenye jengo lililowaka moto

on

Screen Shot 2014-03-27 at 12.14.25 PMNi moto ambao umetokea kwenye gorofa ya tano ya jengo moja huko Houston Texas Marekani ambapo kikosi cha zimamoto kilifanya pia jitihada za kumuokoa fundi ujenzi mmoja aliekua kwenye gorofa hilo dakika za mwisho wakati moto umeshashika.

Video ilirekodiwa na shuhuda aliekua kwa mbali, unaweza kuitazama hapa chini…

[youtube youtubeurl=”Cg9PWSHL4Vg” ][/youtube]

Screen Shot 2014-03-27 at 12.14.39 PM

Tupia Comments