Habari za Mastaa

MADEE kaongea kuhusu DIAMOND PLATNUMZ kutajwa mara kwa mara

on

Staa kutokea Manzese ambaye anatamba na wimbo wake wa ‘Sema’ aliomshirikisha msanii Nandy, Madee amezungumza kwenye Exclusive interview na Ayo TV ambapo amelezea kile kilichokuwa kinaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu picha za mastaa za zamani walizokuwa na watu wanaodaiwa kuwa mapenzini.

Baadhi ya mastaa ambao picha zao zilisambaa kwenye mitandao na kusababisha sintofahamu kwa mashabiki wao…sasa Madee kasema hawezi kufanya kitu kama hicho akisema anaweza kupost picha ya mwanamke aliyemchumbia tayari kwa Kumuoa.

Mabli na hayo, Madee kazungumzia ishu ya staa mwingine Diamond Platnumz akisema ni staa, na vile anavyosemwa na kutajwa mara kwa mara wanamuongezea safari na kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo anazidi kufanya vizuri na kutojali nini kinaendelea kwenye mitandao.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO..

VIDEO: Dogo Janja alivyoimba na mashabiki FIESTA Classic MBEYA

Soma na hizi

Tupia Comments