Habari za Mastaa

‘Ninao watoto kumi na mbili na mama zao kumi, situmii vumbi la mkongo, mkorogo tu’ – NYOSHI

on

Mwimbaji wa nyimbo za dance, Nyoshi Elisadati amezungumza kupitia AyoTV na millardayo.com na kusema kuwa yeye anajivunia kuwa na watoto kumi na mbili (12) huku mama zao wakiwa kumi (10) kwani wapo watu wanaotamani kuwa hata na mtoto mmoja ila imeshindikana.

Nyoshi amabaye aliulizwa kama amekuwa akitumia dawa za asili maarufu kama (vumbi la mkongo) kuongeza nguvu wakati wa tendo la ndoa ndio limechangia yeye kuwa na wanawake wengi zaidi na wote kuzaa nao,  Nyoshi alijibu haya..

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.

Soma na hizi

Tupia Comments