AyoTV

Video: Khadija Kopa atokwa machozi, RC Makonda ashindwa kujizuia

on

NI Novemba 5, 2019 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alitembelea hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam huku akiwa ameongozana na wasanii mbalimbali nia ya kuwajulia hali za wagonjwa pamoja na kutoa kile walichokiandaa.

Sasa hapa nimekuwekea video ujionee Khadija Kopa jinsi alivyotokwa na machozi baada ya kusikiliza historia ya mtoto mdogo aitwae Erick aliekuwa na matatizo ya moyo.

Soma na hizi

Tupia Comments