Mix

VIDEO:Stamina na Fid Q walivyochanana live kwenye stage fiesta Arusha 2019

on

Ni wasanii wawili wa Hip Hop Stamina na Fid Q ambapo October 26, 2019 walipokea shangwe za kutosha katika jukwaa la Fiesta 2019 iliyofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid baada ya kuoneshana uwezo wa kuchanana kwa lugha ya kingereza mbele ya mashabiki waliohudhuria tamasha hilo.

Soma na hizi

Tupia Comments