Usiku wa May 7, 2019 ndio ilikuwa siku ya kumtafuta mrembo atakayerithi taji la umiss katika chuo cha usimamizi wa fedha (Institute of Financial Management) ambapo mchujo ulifanyika na kupatikana TOP 5 na hatimae akafanikiwa kupatikana mshindi mpya wa mwaka 2019.