Habari za Mastaa

PICHA 19: Kutoka katika fainali za kumtafuta Miss IFM kwa mwaka 2019

on

Usiku wa May 7, 2019 ndio ilikuwa siku ya kumtafuta mrembo atakayerithi taji la umiss katika chuo cha usimamizi wa fedha (Institute of Financial Management)  ambapo mchujo ulifanyika na kupatikana TOP 5 na hatimae  akafanikiwa kupatikana mshindi mpya wa mwaka 2019.

Soma na hizi

Tupia Comments