Habari za Mastaa

VIDEO: Mabibi na Mabwana Miss IFM 2019 kapatikana, kazungumza haya

on

Usiku wa May 7, 2019 ndio ilikuwa siku ya kumtafuta mrembo atakayerithi taji la umiss katika chuo cha usimamizi wa fedha (Institute of Financial Management)  ambapo mchujo ulifanyika na kupatikana TOP 5 na hatimae  akafanikiwa kupatikana mshindi mpya wa mwaka 2019.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: HAMISA MOBETTO KAFUNGUKA KUANDAA MASHINDANO YA UMISS DSM

Soma na hizi

Tupia Comments