Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram ‘madaraka kwa watu’
Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuweka hashtag ya #SIMBA
Unataka niwe nakutumia kila stori inayonifikia? niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB