Habari za Mastaa

Irene Uwoya amechoshwa na Mwijaku

on

Hii ni nyingine ya kuifahamu kutoka kwa mwigizaji Irene Uwoya ambapo ameonekana kama kukerwa na baadhi ya mambo ambayo yamefanywa au kusemwa na muigizaji mwenzake Mwijaku, kupitia ukurasa wa instagram wa Irene Uwoya amepost picha na kuandika.

“Hii post ya saa moja tu nimekuangalia kwa muda mrefu sana nimenyamaza kawaida sipendi maneno ila naona nikikaa kimya unaniona zoba, niliamua kukaa kimya kwa sababu sibishanagi na wali mimi, wewe msh****”

“Si ndio ulisababisha mpaka kipindi cha mahusiano kufa sababu ya umwali, Sitaki kuongea sana nakupa onyo usije ukaniongelea tena katika maisha yako yote iwe mwanzo na mwisho”

Inawezekana Irene Uwoya akawa amechoshwa na baadhi ya maneno yanayosemwa na mwijaku kuhusiana na yeye au kuna mambo atakuwa amemfanyia hajapenda, inadaiwa kuwa Mwijaku amekuwa akiwaongelea watu wengi na kuwakosoa kupitia vyombo mbalimbali vya habari huku wengine akiwataja kwa mazuri.

VIDEO: UMEPITWA NA HII YA WAKAZI?  ‘SILAZIMISHI / SI-FORCE, ACHA MUZIKI UONGEE’, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA 

Soma na hizi

Tupia Comments