Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Kanye West amem-post Mwanae akiimba ngoma ya Drake

on

Baada ya Kanye West kutoa ahadi kwa Drake kuwa atahudhuria moja ya show katika ziara yake ikiwa na kumuomba msamaha kuhusiana na bifu ya Pusha T ambayo alionekana kuhusishwa basi Kanye ameamua kuonyesha mapenzi kwa Drake.

Kanye West amepost video clip ikimuonyesha mwanae North akiimba wimbo wa Drake ‘In My Feelings’ kupitia ukurasa wake wa instagram lakini kwa upande wa Drake hajajibu chochote kuhusiana na post hiyo.

Bifu kati ya Kanye West na Drake liliisha baada ya Kanye kuomba msamaha kupitia ukurasa wake wa twitter siku kadhaa zilizopita na kutoa ahadi kuwa atahudhuria moja ya show ya  Drake na anafurahishwa na ubunifu wa anaoufanya.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Kanye West (@kanyewest) on

Alikiba kamwambia Ommy Dimpoz “usiwaze Mungu kakunusuru wote si wake”

Soma na hizi

Tupia Comments