Habari za Mastaa

SHILOLE KAPOSWA! Aongea kuhusu kuishi na mtoto wa Uchebe

on

AyoTV ENTERTAINMENT inae Mwimbaji Shilole sasa hivi kwenye Exclusive Interview anayomzungumzia mpenzi wake mpya aitwae Uchebe, Mwanamke anaelalamika Shilole kamuibia Mwanaume, ambapo Shilole amedai kuwa yule ni mtalaka wa mpenzi wake na walishaachana na uchebe.

Mbali na hilo Shilole pia amebainisha kuwa yupo tayari kumlea mtoto wa Uchebe aliyezaa na mtalaka wake iwapo mwanaume huyo atataka iwe hivyo.

Bonyeza Play hapa chini kupata taarifaaa..

FIESTA 2017 ndio imetengeneza gumzo la Diamond na Alikiba?

Soma na hizi

Tupia Comments