Tuzo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA) zimetolewa Nigeria usiku wa kuamkia leo na baadhi ya Mastaa kadhaa kama Alikiba, Nandy, Wizkid, Tiwa Savage, Ycee, Orezi, 2Baba, na M.I waliibuka washindi wa tuzo hizo.
Kutoka Tanzania Nandy ambae ni staa wa hit single ‘wasikudanganye’ ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike Afrika Mashariki wakati Mtanzania mwingine Alikiba ameshinda tuzo ya Best Artist or Group in African RnB and Soul akiwa na Rapper wa Nigeria M.I na tuzo nyingine ni Kolabo Bora ya Afrika ambayo ni “Aje”
List nyingine Kamili ya washindi:
Best East African Act (Male) – Eddy Kenzo
Best East African Act (Female) – Nandy
Best Southern Africa Act (Male) – Emtee
Best West African Act (Male) – Wizkid
Best West African Act (Female) – Tiwa Savage
Best African Collaboration – Alikiba feat M.I – “AJE“
Best Artist in African Rock – Gilad Millo (Kenya)
Best Central African Act (Male) – Locko
Best Central African Act (Female) – Montess
Best Artist or Group in African RnB & Soul – Alikiba feat. M.I – “AJE“.
Best Artist or Group in African Contemporary: DJ Tunez feat. Wande Coal – “Iskaba“
Best Artist or Group in African Raggae & Dancehall – 2Baba – “Holy Holy“
African Songwriter of the Year – Simi
Producer of the Year – DJ Coublon for Seyi Shay’s “Yolo Yolo“
Artist of the Year – Wizkid
Song of the Year – Wizkid feat. Drake – “Come Closer“
Best Artist or Group in African Hip Hop – Ycee – “Juice“
Best Artist of Group in African Pop – Toofan
Video of the Year – Orezi x Adasa Cookey – “Cooking Pot“
Best Female Artist in Inspirational Music: Asikey George
USIKU WA PARTY YA BILNASS KUMALIZA DEGREE