Female Rapper Nicki Minaj anashikilia rekodi ya mauzo ya kopi zaidi ya Milioni 100 za nyimbo zake katika album pamoja na nyimbo zote alizowahi kushirikishwa, hivyo anashika nafasi ya msanii wa kwanza wa kike kutokea kwenye muziki wa Hip Hop kuweka rekodi hii.
Taarifa hizi zimethibitishwa na RIAA Units ambapo imetoa Top ten list ya wasanii wa kike wanaongoza katika mauzo hayo ambapo Rihanna anashikilia nafasi ya kwanza huku Nicki Minaj pamoja na Mariah Carey wakishika nafasi ya nne.
List hiyo inakamilishwa na Madonna, Barbra Streisand, Whitney Houston, Lady Gaga na Adele. Itazame Top 5 iliyoandaliwa na RIAA Units.
1. Rihanna 198 million units (22.5 million of which are albums)
2. Taylor Swift 169.5 million units (43 million of which are albums)
3. Katy Perry 108 million units (6 million of which are albums)
4. Nicki Minaj 100 million units* (8.5 million of which are albums)
4. Mariah Carey 90 million units (66 million of which are albums)
ULIPITWA? Dogo Janja penzi jipya linapamba moto kamsahau Irene Uwoya