Habari za Mastaa

Ebitoke amemjibu Gigy baada ya kusema atampa kipigo ‘Akija atadunda yeye’ (+video)

on

Ni headlines za mchekeshaji Ebitoke baada ya kauli yake iliyotrend mtandaoni akisikia kutoa ushauri kwa msanii Gigy Money juu ya malezi ya mtoto wake kwa kudai kuwa ‘yule mtoto Gigy atambemenda hivyo anatakiwa kumlea mtoto vizuri ili badae awe na afya nzuri’ ambapo baadae Gigy alikuja kujibu kwa kusema akimkamata atampa kipigo.

Sasa baada ya kusambaa video ikimuonesha Gigy Money akidai kumpa kipigo Ebitoke endapo atamkamata, naye Ebitoke amemjibu Gigy. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKIA ALICHOJIBU EBITOKE.

VIDEO: Stan Bakora asimulia alivyo wachanganya wanawake tisa kwa wakati mmoja

Soma na hizi

Tupia Comments