Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Simba SC ilivyopokelewa kwa mbwembwe na mashabiki wake Bukoba

on

Timu ya Simba Sports Club leo imewasili  Bukoba Mkoani Kagera ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mechi yao dhidi ya Kagera Sugar itakayochezwa hapo kesho Jumamosi ya April 20 2019 katika uwanja wa Kaitaba Bukoba.

Mashabiki wa Simba SCkwa upande wa Mkoa wa Kagera wamesimamisha shughuli zao kwa muda na kuipokea Timu hiyo kwa mbwembwe kuanzia Uwanja wa Ndege mpaka Hotelini walipofikia wachezaji na uongozi mzima, Simba SC imetoka kucheza michuano ya CAF Champions League na kutokana na kufanya vizuri imekuwa ikipongezwa na mashabiki wao mbalimbali.

Simba na Yanga za kataa kuungana ili kucheza na Mabingwa mara 5 wa Europa League May 23

Soma na hizi

Tupia Comments