Mapenzi yao ni wazi sasa hivi na headlines zao ni za kutosha kwenye mitandao ya kijamii ambapo nyingine mpya ni hii ya wawili hawa kwenda Zanzibar kuenjoy weekend ya Valentine.
Diamond aliandika kuhusu Zari >>> ‘Alisema hajawahi kufika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yetu’
Unataka niwe nakusogezea kila kinachonifikia? ungana na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram kwa kubonyeza hapa ili niwe nakutumia kila kitu moja kwa moja >>> Facebook Twitter Instagram