Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Floyd Mayweather kamnunulia binti yake wa miaka 14 zawadi ya hili gari.

on

floBondia Floyd Mayweather anatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye utajiri mkubwa duniani kupitia kazi yake ya ubondia na haoni tatizo kuzitumia kufanya kile ambacho amekusudia au kuziringishia pesa kwa kuzipiga picha.

Sasa pamoja na utajiri wa magari aliokuwa nao Mayweather ameamua kumnunulia binti yake wa kike mwenye miaka 14 gari ya kifahari aina ya  Rolls Royce yenye thamani ya dola za Kimarekani laki nne.

fusBinti yake Obi Okeke alifafanua kuwa baba yake alimwita na kumwagizia gari hiyo huku akisema itakuwa ikisimamiwa na mama yake lakini mtoto huyo atakua huru kuitumia wakati wote.

floyd

Mayweather na mtoto wake.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments