Director anaefanya vizuri kwenye video hapa TZ, Hanscana amezungumzia video ya ‘Morali’ kuwa moja kati ya video ambazo zimewahi kumsumbua.. Unaambiwa hiyo ni video ambayo alishoot bila kuhamisha camera, hiyo ilimpa wasiwasi kama watu wataielewa.
Kwenye mitandao ya kijamii kuna story kuhusu taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kutakiwa kujisalimisha Polisi kwa ajili ya mahojiano kuhusu tuhuma za kumkashifu Kardinali Pengo.
255 imemtafuta Kamanda Kova ambae alitoa taarifa hiyo na kusema hawezi kuzungumza chochote juu ya taarifa hiyo ila alitoa hiyo taarifa na ichukuliwe jinsi ilivyo, kama zitahitajika kutolewa taarifa nyingine atatoa press conference.
Bonyeza play kusikiliza 255 yote hapa…
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook