Kitu cha kufahamu ni kuwa muziki wa Afrika unatajwa kuwa na melody tofauti ambazo huzifanya nyimbo zake kuwa na utofauti sana, unaambiwa pia Afrika ni bara la pili kumiliki tamaduni nyingi ambapo kila utamaduni una muziki wa aina yake ambao unaendana na utamaduni huo hivyo kuifanya Afrika kuwa bara lenye muziki ambao unaweza kusikilizwa ulimwenguni kote.
Mtandao wa top101news.com umezitaja nyimbo bora Afrika za muda wote mpaka 2017 ukiwemo wimbo wa mwimbaji kutoka Tanzania Saida Karoli uitwao Maria Salome ukiwa kwenye nafasi ya pili ya orodha hiyo.
10. Butu na Moyi – Makoma
https://www.youtube.com/watch?v=GfdgCWP2DZg
9. Ndakuvara – Oliver Mtukudzi
8. Waving’ Flag – K’naan
7. All Eyes on me ft. Burna Boy, Da L.E.S., JR
https://www.youtube.com/watch?v=uc3b-G4NPx8
6. Live and Die in Afrika – Saut Sol
5. Zangalewa – Golden Sounds
https://www.youtube.com/watch?v=lykt51-RTfc
4. Godwin – Korede Bello
3. Vulindlela – Brenda Fassie
2. Maria Salome – SAIDA KAROLI
1. African Queen – 2 Face
VIDEO: Saida Kaloli alivyofunguka kuhusu kimya chake na Diamond kurudia wimbo wake, Bonyeza play hapa chini kutazama