Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo March 3, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, Mahakama hiyo ilimtaka Lema asaini bondi ya shilingi milioni 1 na wadhamini wawili wenye vitambulisho vinavyotambulika ambapo alikidhi vigezo na kuachiwa huru.
#UPDATE 2: Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amepata dhamana Mahakama Kuu Arusha, asaini bondi ya Tsh milioni 1 na wadhamini wake wawili pic.twitter.com/oUUNY1bGQj
— millardayo (@millardayo) March 3, 2017
VIDEO: Alichokisema Mbunge Godbless Lema baada ya kuachiwa kwa dhamana leo March, 3, 2017