Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ leo August 17 2017 kupitia kwa Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika na Mwanasheria wake Tundu Lissu, amekutana na Waandishi wa Habari na kuzungumzia kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo la Serikali kuvunja mikataba ya wawekezaji.
Licha ya kuzungumza mambo mengi haya hapa mambo 8 makubwa aliyoyazungumza Tundu Lissu mbele ya Wanahabari.
"Ndege iliyotarajiwa kuwasili mwezi uliopita mpaka sasa haijafika na Serikali ipo kimya"-Lissu pic.twitter.com/Ope0fco2Aa
— millardayo (@millardayo) August 18, 2017
"Ndege hiyo iliyotarajiwa kufika mwezi uliopita imekamatwa na inashikiliwa Canada na wadeni wetu"-Tundu Lissu pic.twitter.com/t5hL98M92O
— millardayo (@millardayo) August 18, 2017
"Baada ya Waziri wa mambo ya nje kwenda Canada, Kampuni hiyo imekubali kuiachia ndege hiyo kwa malipo ya awali"-Tundu Lissu pic.twitter.com/sfZMM8hWu5
— millardayo (@millardayo) August 18, 2017
"Kwanini hilo deni halikulipwa mpaka miaka saba baadae ambapo deni hilo limeongezeka"-Tundu Lissu pic.twitter.com/bfRl80rWTA
— millardayo (@millardayo) August 18, 2017
"Msisitizo wa Waziri wa mambo ya nje kutaka jambo hili liwe kimyakimya ni kwa ajili ya kumlinda nani?"-Tundu Lissu pic.twitter.com/VTr9kJojwa
— millardayo (@millardayo) August 18, 2017
"Tunaiomba Serikali iweke hadharani kesi zote ambazo tumeshitakiwa kwenye kesi za usuluhishi nje ya nchi"-Tundu Lissu pic.twitter.com/Acg1qMlITa
— millardayo (@millardayo) August 18, 2017
"Waziri Mbarawa alimjibu Zitto kuhusu ndege hiyo lakini hakusema ni taratibu zipi ambazo zimechelewesha ndege hiyo kuletwa"-Tundu Lissu pic.twitter.com/qtuB5Mm0CH
— millardayo (@millardayo) August 18, 2017
"Naomba nizungumzie athari za Serikali kuvunja mikataba ya wawekezaji wa nje"-Tundu Lissu pic.twitter.com/YjSd936H8p
— millardayo (@millardayo) August 18, 2017