Habari za Mastaa

Baada ya P Funk kukuta msg za mapenzi za Dogo Janja kwa Paula

on

On Air With Millard Ayo ilikuwa na Mwimbaji staa wa Bongofleva Dogo Janja ambaye amefunguka kuhusu maisha yake, muziki wake na namna walivyotofautiana na Producer P Funk Majani mpaka akaacha viatu studio za Bongo Records.

Mbali na hayo Dogo Janja kazungumzia pia kuhusu kudaiwa kuwa mapenzini na mwigizaji Irene Uwoya.

>>>”Mtu kama Irene Uwoya ni namu-admire, nampenda lakini sipo naye kama vile watu wanavyofikiria. Love yangu kwa Irene Uwoya haifichiki ila suala la kuwa kwenye mahusiano naye mimi sina. Nimeshawahi kuwa na mtu aliyenizidi umri na nachezaga na wa mwaka 1987 au kuivuta 89.

“Anakuwa amenizidi miaka kama sita au mitano na nakuwa sawa kabisa japo huwezi nikuta nikitembea na mwanamke siwezi kabisa.” – Dogo Janja

“Nikiachana na mtu imetoka siwezi kumrudia tena” – Vanessa Mdee 

Soma na hizi

Tupia Comments