Usiku wa December 17, 2017 ilikuwa ni show Dogo Janja na Aslay iliyopewa jina la Usiku wa NGARENARO ambapo wasanii hao walitoa burudani Maisha Club, lakini kabla ya show hiyo msanii Dogo Janja aliahidi kwenda na mke wake Irene Uwoya baada ya picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha Irene Uwoya na mwanaume mwingine kitandani.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Full video..
Dogo Janja baada ya picha ya Uwoya na Tbway kuvuja