Zilitoka taarifa za mwanamuzi wa Dance Ally Choki kuugua na kulazwa Hospitali ya Bugando Mwanza wiki moja imepita na Management yake haikuwa tayari kuzungumza, kwenye EXCLUSIVE Meneja amezungumza.
Style ya uombaji kura huko Monduli, Mbunge azunguka uwanja wa Sarakasi