Baada ya ngoma ya ‘Hela’ kufutwa baada ya saa chache kuachiwa huyu hapa Alikiba na kundi lake jipya la Kings Music Records wanakuletea “Mwambie Sina” ndani yupo Abdukiba, Cheed, K2ga na Killy.
“Watu wengi wakipita wanashangaa sana Duka la Wema, wanakuja kuuliza”
VIDEO: ROSTAM WAISUSIA VIDEO YAO MPYA, WAKE ZAO WAMEZUNGUMZA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUWATAZAMA