Baada ya RC Paul Makonda kutoa tamko na kumtaka muimbaji Amber Rutty kuripoti kituo cha polisi siku ya leo ya October 26,2018 kutokana na video yake ya ngono kusambaa kwenye mitandao ya kijamii
Mwanasheria Alberto Msando ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa ufanunuzi kuhusiana na adhabu itakayomkabili mtu endapo atafanya mapenzi kinyume na maumbile na kusema kuwa adhabu yake ni miaka isopungua 30 jela au kifungo cha maisha.
“Kifungu cha 154…adhabu ni kifungo cha maisha au miaka isiyopungua 30. #JustIncase#UnnaturalOffence#AnachoitiwaAmbaRuti#IjueAdhabuYaUyafanyayo#MjulisheNaMwenzio #thedonsgroup#thedonsliquorstore #TheDon”
VIDEO YA NGONO YA AMBER RUTTY, RC MAKONDA ATOA TAMKO