Baada ya kusambaa kwa Waraka unaodaiwa kuandikwa na Wabunge 48 akiwemo Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, Leo January 17, 2019 amefunguka kwenye Exclusive Interview nakusema hakuandaa Waraka huo kuhusu suala la CAG pamoja nakusema kwamba Bunge ni dhaifu.
ZITTO KABWE “UAMUZI WA CAG UMENISIKITISHA SANA, AMESAIDIA KUVUNJA KATIBA”